Mabere Marando akihutubia. Alitumia fursa hiyo kumnadi Halima Mdee, mgombea ubunge Kawe kupitia CHADEMA
Hapa akihutubia wakazi wa Kawe
Dk. Slaa akisalimia wakazi wa Magomeni kabla ya kuhutubia mkutano mkubwa katika Viwanja vya tangantika Pakers, Kawe Dar es Salaam leo
No comments:
Post a Comment