Tuesday, October 05, 2010

Mgombe Mwenza CUF

Mgombea mwenza wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya CUF, Bw. Duni Juma Haji mwenye shati jeupe na kapero ya bluu wa pili kutoka kulia wakisukuma gari canter namba T.771 B L I aina ya canter, baada ya kukwama njiani tarafa ya Rondo wakati wakielekea kata ya Ntene katika mkutano wa kampeni, Septemba 29 mwaka huu.
mgombea ubunge wa Jimbo la Lindi mjini, kwa tiketi ya CUF, Bw. Salumu Khalfani Bar'wani akizungumza na wananchi wa kata ya Chikonji mara baada ya kutambulishwa kwa wakazi wa kata hiyo na mgombea mwenza wa urais Bw. Duni Juma Haji, Septemba 29 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment