Thursday, July 29, 2010

Wagombe Arusha wasubiri kusulubiwa

Wanaoomba kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini, kutoka kushoBw. Deogratiasa Mtu, Dkt. Hamis Kibola, Bw. Felix Mrema (mbunge anayemaliza muda wake), Bw. MichaelSekajingo, Dkt. Batilda Burian na Bw. Aloyce Kilimbo wakisubiri kusulubiwa na wapiga kura. Habari zilizopatikana leo ni kuwa Bw. Mrema amenaswa na TAKUKURU usiku wa kuamkia leo

No comments:

Post a Comment