Wednesday, July 07, 2010

January Makamba huyooo Bumbuli

Mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, ambaye pia ni Mwandishi wa Hotuba za Rais Jakaya Kikwete (Mwenyekiti wa CCM) ametangaza kuwania ubunge katika Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga. Lakini yatai ameshapigwa kombora zito kwenye Jamiiforums

No comments:

Post a Comment