Thursday, June 24, 2010

Utamu wa bungeni

Mbunge wa Ilala Jijini Dar es Salaam, Bw. Mussa Azan Zungu, akiwa katika kikao cha bunge mjini Dodoma jana

Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda akimkaribisha ofisini kwake Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Shamsi Vuai Nahodha mjini Dodoma

Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Shamsi Vuai
Nahodha
akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Zanzibar, Bi. Dogo Iddi
Mbarouk wakihudhuriua Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mjini Dodoma.


Waziri wa Nishati na Madini, Bw. William Ngeleja (kulia), akiweka sahihi ya makubaliano ya Kampuni ya Beach Petroleum kutoka nchini Australia na Tanzania Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kutafuta Gesi katika ziwa Tanganyika. Kushoto ni Rais wa Kampuni hiyo, Bw. Neil Gibbins.(Picha na Peter Twite)


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)B. Celina Kombani (kushoto), akizungumza jambo na waziri Maendeleo ya Miundombinu Dkt. Shukuru Kawambwa, katika viwanja vya bunge Mjini Dodoma

Mbunge wa Same Mashariki, Bi. Anne Kilango Malecela akimuonesha Spika wa Bunge, Bw. Samuel Sitta moja ya gazeti analolilalamikia kuwa linamchafua bungeni Dodoma

1 comment:

tongchen@seattle said...
This comment has been removed by a blog administrator.

Post a Comment