Wednesday, June 16, 2010

Kila mtu analonga

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Iboni iliyoko Kondoa Mjini, akiwasiliana kwa simu na wazazi wake wakati yeye na wenzake walipokuwa katika ziara ya mafunzo bungeni Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment