Monday, June 07, 2010

John Mnyika arejesha fomu

Mbwembwe zilitawala wakati John Mnyika anarudisha fomu, alifanya mkutano Mazese, kisha akasindikizwa kwa maandamano. HAYA ndiyo aliyosema mkutanoni.

No comments:

Post a Comment