Monday, May 03, 2010

JK kuhutubia taifa leo


Siku tatu tangu Rais Jakaya Kikwete akose nafasi ya kulihutubia taifa katika siku ya wafanyakazi, MEI DAY, leo analihutubia taifa kupitia wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam. Yanayotarajiwa;
  1. Kuelezea kuhusu mkutano wa Uchumi wa Dunia, kuhusu Afrika (WEF)
  2. Kutangaza kukubaliana/kutokubaliana kati ya serikali na wafanyakazi wa umma, kwenye suala la maslahi
  3. Kuzidi kuomba chonde chonde kwa wafanyakazi kusitisha mgomo wao walioandaa keshokutwa Mei 5

No comments:

Post a Comment