Thursday, May 27, 2010

Barabara Tuzitakazo

Kilio cha wakazi wa Dar kuhusu foleni za magari kinazidi kukua siku hadi siku, kwa kuwa tatizo linaongezeka. Mikakati yote watafanya, barabara watapanua, mabasi ya kasi yataletwa, lakini mwisho wa yote ni barabara za namna hii za ghorofani

No comments:

Post a Comment