Uchaguzi Biharamulo
Wananchi katika Jimbo la Biharamulo Magharibi mkoani Kagera leo wanapiga kura kumchagua mbunge wao baada ya kampeni za uchaguzi huo kukamilika jana huku ushindani ukitarajiwa kuwa mkali kati ya vyama vya Chadema na CCM.Hawa ndio wagombea
Oscar Mukassa-CCM
Mpeka Buhangaza-TLP
Dk Gervas Mbasa-Chadema
No comments:
Post a Comment