Wednesday, July 15, 2009

Siyo Vita, Ni Operesheni Majambazi

Hii ndiyo kazi ya polisi huko Biharamulo. Hii ni si kwa ajili ya uchaguzi mdogo uliopita wala vita; ni operesheni majambazi wanaoteka magari. Magari yote yanayoingia na kutoka wilayani humo hulazimika kusindikizwa na askari wanaokuwa ndani na wengine kwenye kifaa hiki.

No comments:

Post a Comment