Matokeo Rasmi yaliyotangazwa na Msimamizi wa Uchaguzim, Zuberi Mbyana: Mshindi ni Oscar Mukassa-CCM
CCM: 17,561Chadema: 16,700 TLP: 198Waliojiandikisha 87,188 Waliopiga kura 35, 338 Kura zilizoharibika 879
WanaCCM wa Biharamulo wakishangilia ushindi jana.
2 comments:
Hiki ni kichekesho au ni msiba? Waliojiandikisha ni 87,188 na waliopiga kura ni 35,338! Yaani hawafikii nusu ya waliojiandikisha? Hili linatupa picha ipi? Na upi ni msitikabali wa taifa kwa upigaji kura wa namna hii?
Ni njaa na umaskini ambao ndio SILAHA kuu ya CCM. Hakikisha watu wanabaki wamasikini, wakati wa uchaguzi nunua shahada za kupigia kura za wale wanaoonekana kuleta kidomodomo. Basi. Hiyo ndilo jibu la namba hiyo 87,188 vs 35,338. Mstakabali wa taifa ni 'maisha bora kwa kila fisadi'.
Post a Comment