Nahodha wa meli ya MV Fatih iliyozama katika Bandari ya Malindi mjini Zanzibar wiki iliyopita, ameonya kuwa jitihada za kuopoa meli hiyo zisipofanywa kwa umakini, zinawesababisha uharibifu utakaosabaisha uchunguzi wa ajali hiyo kutokwenda sawa.
Akizungumza ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kutokea kwa ajali hiyo, Nahodha Usi Ali Ussi, alisema taarifa kuwa meli hiyo inamomonyoka kutokana na kuchakaa wakati wa kuvutwa si za kweli. Kwa kina soma hapa
No comments:
Post a Comment