Monday, June 08, 2009

Kiongozi Mpya Asimikwa Jimbo la Same

Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Joseph Chennoth (kushoto) akiwa na Msimamizi Mpya wa Kitume wa Jimbo Katoliki la Same, Padri Rogath Kimaryo baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa jimbo hilo katika Misa Takatifu ya Jumapili iliyoongozwa na Balozi huyo katika Kanisa Kuu la Parokia ya Same mkoani Kilimanjaro. (Mzee Kidevu)

Na Waandishi Maalumu, Same

Wakati kiongozi wa Kitume wa Jimbo Katoliki la Same, Padri Rogath Kimaryo alisimikwa jana, jimbo hilo limeelezwa kuwa liko hatarini kuingia katika machafuko makubwa endapo makasisi, viongozi wa kidini na waumini wa kawaida wataendeleza mgawanyiko ambao hivi sasa uko dhahiri miongoni mwao za kina ziko hapa.

Mwakilishi wa Baba Mtakatifu hapa Tanzania, Joseph Chennoth jana alimsimika rasmi padre Rogathe Kimario kuongoza Dayosisi ya Same ya Kanisa Katoliki katika ibada iliyokuwa na ulinzi wa jeshi la polisi kila kona ya kanisa hilo Soma Hapa.No comments:

Post a Comment