Saturday, April 25, 2009

Utambulisho wa Bukoba

Kagera panajieleza. Picha ya juu ni pilikapilika za sokoni Bukoba mjini na chini ni shamba jipya la migomba, katika eneo la Kyagati, Kitongoji cha Buhesi, Kijiji cha Irogelo, Tarafa ya Kamachumu


1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Hiyo picha ya kwanza imenikumbusha pale soko kuu la Bukoba mjini enzi zile nikipiga ndono Kahororo Sec. Miaka inakimbia kama nini. Dah!

Post a Comment