Monday, March 09, 2009

Usafiri kutoka shule


Enzi za mwalimu usafiri wa kutoka shule ilikuwa ni kwa miguu tena pekupeku, lakini hivi sasa watoto wengine wana 'kigari kama hiki' kwani nauli za daladala hazikamatiki.

No comments:

Post a Comment