Thursday, March 12, 2009

Aliyemchapa Mwinyi Akiri Kosa


Yule kijana aliyemzaba kofi Mzee Mwinyi, Ibrahim Said Sultan amekiri kosa mahakamani leo, kesi yake imeahirishwa hadi kesho atakaposomewa tena maelezo ya mashtaka, kabla ya kusomewa hukumu yake.No comments:

Post a Comment