Saturday, February 28, 2009

TRL hakujatulia

Wafanyakazi wa Shirika la Reli jana waliamua kuweka vifaa vya kazi chini na kuchukua mambango. Maelezo yanajitosheleza, isipokuwa tu Kaboyonga ndo Mwenyekiti wa Bodi ya TRL

No comments:

Post a Comment