Friday, January 23, 2009

Vindege Vichokonozi

Soma yote Mwanangu
Bunge linakutana J4 ijayo. Watabiri wameshaanza kuchonga kuwa RICHMOND itajitokeza tena. Safari hii itakuja kwa staili ya kueleza hatua ambazo serikali imechukua dhidi ya watuhumiwa. Hadi sasa ni dagaa mmoja tu aliyefika kwa pilato. Pengine aka ka ndege kanaweza kuwa kanasoma kitu chenye maana. Kumbuka, Edwald Lowassa, Nazir Karamagi na Dokta Ibrahim Msabaha walijiuzulu kwa kuhusishwa na dude hilo. Kikao chema waheshimiwa

No comments:

Post a Comment