Saturday, January 24, 2009

Swali la Wikiend
Tumepata ufunuo wa Obama. Yeye tumemfahamu, mkewe Michelle vile vile tumemuona. Watoto wao tumewaona, Malia na Sasha, Swali ni je, mbona baadhi ya viongozi wetu Afrika hawaelezi 'yote' kuhusu familia zao? Hivi watoto wa Rais Jakaya Kikwete ni kina nani?, Anayewafahamu asaidie tafadhali.

1 comment:

Anonymous said...

sisi tunamjua tu ridhiwan na yule aliyemaliza udaktari pale muhimbili, jina utajaza mwenyewe

Post a Comment