Sunday, January 25, 2009

Jumapili Njema

Vipaka vinaposhtukiana. Hata kwa binadamu hii imo
Unakwenda wapi, nani alikwambia ufuge manywele yote hayo

Usiniogope sisi wote watoto


Leta hizo sambusa, sisi hapa tuna njee wewe unapeleka nyumbani
Usijali mwili huu si hoja, malove yako pale paleNo comments:

Post a Comment