Thursday, September 11, 2008

Eti Ndio Huyu!


Inashangaza: Eti huyu ndiye mgonjwa wa akili aliyewapa kichapo wagonjwa wenzake Muhimbili na kuua wawili na kujeruhi watano. Hapa anatoka mahakamani kesi yake ya mauaji inaposikilizwa.

No comments:

Post a Comment