Saturday, February 09, 2008

Pinda Aapishwa

Waziri Mkuu Mizengo Peter Kayanza Pinda tayari ameapishwa. Ameapa kuwa mtiifu kwa Rais, Katiba, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutokutoa siri za baraza la mawaziri.

1 comment:

Anonymous said...

Mnawaonea sana wazanzibari kwa kuweka mwaziri wakuu wa Tanganyika kuwa pia mawaziri wa kuu wa Tanzania!!! One sided view au kusahau?

Post a Comment