Monday, February 18, 2008

Bush Alipotembelea A-Town

Joji Kichaka akutana na akinamama wa Kimasai, KIA, huku mkewe, Laura akiwatazama kwa mshangao


Baada aya Kilio cha Malaria kutoka kwa JK, Bush aalitoa vyandarua milioni 5 kuwasaidia wabongo wasife kwa mbu. Baba ana huruma huyu!Mama akazawadiwa chandarua na mzee Bush kufaidi joto lake. Walau si haba.

No comments:

Post a Comment