Thursday, January 17, 2008

Huyu Naye Mmhh!

Msanifu wa maarufu wa kurasa na masuala mengine ya graphics, Barnabas Mkwayu ameamua kutangaza kazi zake kupitia mtandao. Kweli anatisha na kazi si za mchezo kama unavyoziona hapa chini. Pitia kwake HAPA uone mengi zaidi.No comments:

Post a Comment