Wednesday, December 12, 2007

Mzee wa Sumo Msibani

Napenda kukutangazia msomaji wa Blogu hii kuwa Mzee Daniel Bukuku, Baba Mzazi wa Mpoki Bukuku au Mzee wa Sumo amefariki dunia juzi mkoani Dodoma. Mazishi yake yanafanyika leo, Dec 12, 2007 saa 10 jioni ,shambani kwake Msalato, Dodoma badala Tukuyu Mbeya, kama ilivyokuwa imetangazwa awali.
Mungu ametoa, Mungu ametwaa, jina lake libarikiwe. Amen

4 comments:

Anonymous said...

Nampa pole sana mzee wa sumo. Ninavyojua mimi kwao ni Mbeya na watu wa huko hawapendi kuzikwa ugenini, imekuwaje akazikwa Dodoma?

Anonymous said...

Ooh poleni sana familia nzima, Pole wifi Lily.

Anonymous said...

Mfikishie pole zangu mzee wa sumo

John Mwaipopo said...

Pole sana mzee wa sumo bwana alitoa na sasa ametwaa. Yeye alimpenda zaidi baba yetu.

Post a Comment