Friday, December 07, 2007

Fake Pastors

Ukiitazama filamu ya kibongo, Fake Pastors, utakutana na mandhari kali kali za bongo kama inavyoonekana Moivenpick hotel.
Hapa Ray na mwenzake Peter baada ya kupata nondo zao Mzumbe, Morogoro wanaanza mikakati ya kukutafuta kazi bila mafanikio, na baadaye kuamua kuwa wachungaji feki
Sura makini za kitapeli, au sio?

Mji Kasoro Bahari, ambapo feki pasters walichukua nondo zao

1 comment:

Chemi Che-Mponda said...

Nimeangalia sinema ya Fake Pastors na nitatoa review. Plot ni nzuri, lakini production quality...mmmh?

Post a Comment