Sunday, December 30, 2007

KENYA ELECTIONS: Matokeo Rasmi Hadi Sasa


Hadi Desemba 30, saa 8:30 matokeo yalipositishwa kutangazwa, kinyang'anyiro cha Urais Kenya kilikuwa kikali mno. Raila Odinga alikuwa na kura 3,880,053 sawa na 47.5% na Rais Mwai Kibaki alikuwa na 3,842,051 sawa na 47%. Mambo yaliyofuata si mazuri kusimulia utayaona mwenyewe kwa picha muda si mrefu.

No comments:

Post a Comment