Saturday, December 29, 2007

UCHAGUZI KENYA: Mambo ni Kigeugeu

Taarifa sahihi za saa hizi ni kwamba Raila Odinga anamzidi Rais Mwai Kibaki kwa kura 46,000 tu. Matokeo zaidi yanaendelea kutangazwa. Matokeo haya ni katika majimbo 202 kati ya 210. (chanzo ni Citizen Tv ya Kenya)

No comments:

Post a Comment