Wednesday, November 07, 2007

Mwenzangu, Jamaa Kweli Katuacha!


Kingunge: "Yaani siamini masikio yangu, kweli JK katuacha Kamati Kuu?
Sumaye: "Usijali mie nimezoea" yawezekana ndivyo wanavyoteta jana hawa. Soma hapa uone walioteuliwa NEC na walioteuliwa Kamati Kuu utawakuta Hapa.

3 comments:

Anonymous said...

Maskini mzee wa watu. Bora angebaki na Ukuu wa mkoa wake. lakini mambo si habari, hata ubunge anashiba.

Anonymous said...

wamechoka sana. iweje kila siku wao tu, kwani hakuna damu changa ya kushika madaraka badala ya hawa?

Bwaya said...

Haya ni mambo ya kawaida katika nchi yenye watu milioni zipatazao thelathini na sita. Kuachwa haimaanishi kwamba hawafai. Ni busara wapumzike. Umri unaruhusu kupumzika bila usononi.

Post a Comment