Tuesday, November 06, 2007

Sura ya Mashaka

Kichwa cha habari kilichonifurahisha: Makamba mguu nje mguu ndani. Sasa ni dhahiri kwamba 'Makamba Mguu Ndani. Najua wengine wataandika 'Makamba chupuchupu'. Hii ni ishara kuwa kiongozi huo, hakubaliki kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM. Yawezekana Mwenyekiti wake, JK amekataa kuonekana ameelekezwa na magazeti. Hivyo Makamba anatakiwa kusoma alama za nyakati.(picha: Mzee wa Sumo)

No comments:

Post a Comment