Thursday, November 08, 2007

Bongo Yetu


Picha hii ilipigwa wiki iliyopita katika Kijiji cha matombo, Mkoani Morogoro. Abiria walikuwa wanaelekea mjini Morogoro, na huu ni usafiri wao wa kawaida.

No comments:

Post a Comment