Monday, July 16, 2007

Swali la leo Julai 16

Wafanyakazi wanaotozwa kodi kwenye mishahara yao, yaani wenye mishahara zaidi ya Sh80,000 wamepunguziwa kodi maarufu kama Pay As You Earn (PAYE) kwa Sh3,500. Hivi watendaji wa serikali wanadhani kiasi hicho kitapunguza makali ya maisha? au ni danganya toto? -RSM-

No comments:

Post a Comment