Thursday, July 20, 2006

Si kila kimya kina mshindo!

Najua wengi mliamini kuwa nimekuwa kimya, na labda kuwa kimya changu kina mshindo. Hiyo ni kinyume kabisa na imani yangu binafsi, na kinyume na ukweli wenyewe. kimya hiki changu hakina msindo, kama ilivyo kwa wengi wetu tunaosoma blogu hii, kimetokana na kazi nyingi, zinazochukua muda mrefu kwenye kompyuta, lakini bado nikashindwa kupitia blogu hii, na za wenzangu. Kwa kifupi, nilikuwa busy. nimeelewa tatizo mwenyewe, natafuta mbinu za kulitatua. Wakati nakuja na suluhisho, usipoteze muda kuniwaza mimi, ebu msome na huyu (www.magodi.blogspot.com). Pamoja na kazi zangu nyingine, nimefanikiwa kupata kondoo mwingine.

7 comments:

Anonymous said...

Mzee RSM naadhani kimya hicho kitaibuka na mambo mazuri na ndiyo tunasubiri kusoma Mwananchi kwenye mtandao.Ubarikiwe!

samahani wazee, message imejirudia kutokana na matatizo ya ubonyezaji katika mtandaoa, sikuwa na nia ya kufanya hivyo, kumradhi!

Ansbert Ngurumo said...

Hiki kimya chako sasa kitakuwa na mshindo. Kimalize, basi!

Post a Comment