Friday, July 28, 2006

Majukumu Mapya!Nilipoaga wakati naondoka Dodoma kuja Jijini Dar es Salaam, sikufafanua ni kazi gani nyingi zinazonikabili. Hii ya kuongea na wageni, wakiwemo wanaowania taji la Miss Tanzania 2006, ni mojawapo ya kazi hizo (picha na Mzee wa Sumo).

5 comments:

Anonymous said...

Mzee mbona PRO wako simuoni au kazi zote zako!

Anonymous said...

ofisi imekukaa uzuri RSM

Martha Mtangoo said...

hao wamiss walikuwa wakutega mbona matumbo yao yako wazi?

mloyi said...

Acha hayo martha, kwani sio mambo mazuri hayo? Hata mimi Motowaka natamani angenialika niwe PRO wake siku hiyo.

Ansbert said...

Mzee, tangu ukutane na hao ma-miss, spidi yako imepungua kwenye blogu. Walikufanyaje?

Post a Comment