Monday, May 29, 2006

Tazama Picha Kwa Mrocky

Huyu naye ni mpigapicha wa bongo anaitwa Mrocky Mrocky. Ukitaka mtembelee uone vimbwanga vyake. Blogu za picha zinaongezeka, lakini ni Michuzi Pekee ambaye ameonekana kuwa 'mtu wa watu' katika blogu kwani ameendelea kuwepo muda wote na alisitisha uamuzi wake wa kuhamia mtandao mwingine. Wengine waige.

No comments:

Post a Comment