Sunday, May 28, 2006

Ebu Nikushirikishe na Hili

Hapa chini (kulia) nilianzisha kibaraza cha mijadala nikakiita 'KIJIWE CHA GHAHAWA'. Ndani ya kijiwe hicho, unaweza kujadili masuala mbalimbali yaliyomo au utakayoanzisha. Mtu yeyote anaweza kuingia na kutoa msimamo wake katika masuala mbalimbali. Cheki hapo sasa kuna mjadala mzito juu ya suala ambalo linaisumbua dunia la Kufanya mapenzi kinyue cha maumbile, mjadala umepamba moto. usingoje kusimuliwa, ingia sasa ujionee.

2 comments:

Anonymous said...

Mzee hiyo mada ya kulawiti ni sawa wale wasichana wanaopenda kukeketwa, maana raha yao wao ipo katika kukeketwa!

zemarcopolo said...

aisee huu mjadala wa kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni mjadala wa kitaala na unahitaji ufafanuzi wa kutosha.naona hapa kuna limit ya characters 200 kwa kila comment.hizi kwa kweli hazitoshi tukilinganisha na uzito wa mjadala!nakuomba iwapo inawezekana kutuongezea nafasi ya kutoa maoni yetu.natanguliza shukrani!

Post a Comment