Wednesday, May 24, 2006

Karibuni Dodoma

Sina Maelezo ya Picha Hii

7 comments:

Jeff Msangi said...

Miruko,
Hapa sio jeshini Makutupola kweli?

SIMON KITURURU said...

Hivi Dodoma wine bado zipo?

zemarcopolo said...

zabibu!!!hivi kilimo cha mizabibu Dodoma kinafanywa katika scale gani?

mloyi said...

Ndiyo mambo ya kwenu hayo sisi huku tunangoja mtukaribishe kwa jinsi mlivyowakarimu, lakini kipimo cha ukarimu wenu ni hizi nauli za kisasa, mtatuvumilia?

Reginald S. Miruko said...

Jeff, Kweli hapa Ni Makutopora Jeshini.

Kitururu, Dodoma wine bado ipo ingawa imepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Zemarcopolo wewe nitakujibu kwa kirefu kidogo. Kwanza soma historia hii:

In 1969 the Ministry of Agriculture also established a vineyard state farm of 126 acres adjacent to Vineyard Research and Training Centre VRTC at Makutupora. The vineyard produced grapes for selling and revenue accrued taken by the Treasury.

The Vineyard State Farm was later given to the Dodoma District Development Corporation (DODIDECO). The corporation produced 31,280 litres of red wine in the first year.

The production raised up to 1.2 million litres in 1986 when another smaller winery called Capital General Manufactures reflected the grapes purchases vis-a-vis wine production before the two major factories were closed down.

Pamoja na kufungwa kwa viwanda hivyo, Vilifunguliwa vingine kama DOWICO, TAVICO, CETAWICO, BIHAWANA na wazalishaji wengine wadogo, ambao kwa ujumla wanazalisha wastani wa lita 500,000 za mvinyo kwa mwaka. Kumbuka, kilimo cha zabibu kilichopo Dodoma hakipo popote Tanzania isipokuwa kwa majaribio mkoani Tanga.

zemarcopolo said...

asante kwa ufafanuzi reginald.kwahiyo dodoma kuna good investment opportunity.natumaini kujengwa kwa chuo kikuu cha chimwaga kutasaidia kuwakumbusha wananchi vitu kama hivi.

Jaduong Metty said...

Hii kitu Makutu...kambi iliyonienyesha kiaina. Lakini siku moja jamaa walifanikiwa kuleta ndoo moja ya zabibu angani, nusu zikiwa zimeiva nusu mbichi..unajua tena wizi wa kutumia mbalamwezi..

Post a Comment