Saturday, March 18, 2006

Wawili wapya wajiunga na blogu

Tunataka damu changa. Hii ndiyo itanogesha mambo zaidi katika blogu. Kweli wengi wanaendelea kujiunga na teknolojia hii ya upashanaji habari kwa njia ya gazeti tando. Msome Omega Ngole hapa; na hapa yupo Lukwaro.

1 comment:

mark msaki said...

aksante Miruko kutuletea Ari mpya na kasi mpya...hawa ni sahihi kuanza kupata shule halisi ya uandishi... na mafunzo zaidi ya nadharia...hawa watakuwa full cooked journalist.....na ndio watanyoosha na wengine..

mungu ibariki Tz, mungu mbariki Miruko

Post a Comment