Wednesday, March 29, 2006

Ukumbi Mpya wa Bunge

HII NI SEHEMU YA MBELE YA UKUMBI MPYA WA BUNGEla Bunge sehemu ya mbele

NA CHINI JINSI LINAVYOONEKANA PEMBENI

4 comments:

MK said...

Kwa kweli jengo ni zuri sana tena sana ingawa gharama ni kubwa mno.

Sasa hizi gharama zinaweza kurudishwa kwa kufanya kazi kwa bidii kwa wote wananchi pamoja na wabunge wenyewe kutunga sheria za maana zitakazo leta maendeleo kwa Watanzania wote na taifa kwa ujumla.

Wasije wakazidi kusinzia Bungeni.

Nadhani sitokuwa nimewaudhi baadhi ya wasomaji wengine, Kama mtakuwa mmeudhika kwa yote nawaomba mniwie radhi.Ukweli utabaki ukweli.

Nashukuru,
©2006 MK

H.Sufa Mpunga said...

Naungana nawe jengo ni zuri, sijui kwa mbele pale wataweka fontain naona kuna maji au ni mvua tu? Miruko labda nifumbulie.

Reginald S. Miruko said...

Mr. Mpunga, hapo mbele imejengwa fontain, lakini kwa kuwa bado wana-finalize, haijaonekana. Nadhani patapendeza

mtandawazi said...

Yapendendeza jamani. Nikidhani ndani mtakuwa wanaopendeza pia...

Post a Comment