Wednesday, January 11, 2006

Nyoka Simpendi, Nawashangaa Wachina WanaomlaKWA baadhi ya watu, hasa Wachina, nyoka ni chakula kitamu kabisa, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa mnyama huyu ni hatari sana, na kwa kweli mimi simpendi hata kidogo. Lakini napendelea kusoma habari zake ili nimjue na kumuepuka zaidi. Si mbaya na wewe ukapata habari zake HAPA.

No comments:

Post a Comment