Wednesday, October 26, 2005

Tuingia Uchaguzi Mshindi Akijulikana

Ina maana gani? Ni kama haina maana vile. KInachonikera ni kwamba tunaingia katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 30, tukiwa tunajua ni chama gani na mgombea gani atashinda. Kama nilivyowahi kueleza katika makala zangu huko nyuma, ni kuwa Wapionzani wataambulia patupu. Hara tatizo ni jinsi sheria zetu zilivyo, mgawanyo wa ruzuku kwa baadhi ya vyama na matumizi ya rasilimali za serikai katika kampeni. matamanio yangu ni kuwa wapinzani waongeze nguvu katika bunge, ili liweze kuchangamka

No comments:

Post a Comment