Tuesday, June 28, 2005

Fumanizi Kuu! We Acha Tu!

FUMANIZIHuyu Bwana alifumaniwa akiwa na mke wa mtu chumbani, ilibidi achukua uamuzi huu mzito na wa hatari bila kupenda kwani alikuwa ahana jinsi nyingine. Wewe ungefanyaje? Nini Kitamtokea? toa maoni yako.

1 comment:

Martha Mtangoo said...

Ningekuwa mimi ningechukua uamuzi huohuoaliouchukua Jamaa, lakini wanguungekuwa sambamba na Godoro ili kunusuru maishayangu maana ningeshuka la Godoro halafu nikishahusha Cover la Shuka ningejisitiri.

Post a Comment