Wednesday, March 16, 2005

Mwaka wa Waandishi? Mwingine ajitosa

Wiki hii mwandishi mwingine wa habari, Dk. William Ferdinand Shija, mbunge wa Sengerema, Mwanza amejitosa katika kinyanganyiro cha urais. Dk. Shija anafanya waandishi wa habari katika mbio hizo kuwa wawili. Mwenzake ni Balozi wa Tanzania Urusi, Patrick Chokala, mwandishi wa habari aliyewahi kuifaidi Ikuli ya Magogoni akiwa mwandishi wa Marais wawili. Dk Shija ni msomi wa Ph.D katika Mawasiliano ya Umma.

No comments:

Post a Comment