Thursday, December 27, 2012

Mambo ya ubatizo

Mwanga wa Kristo. Mtoto Albert Mugisha Miruko jana alikuwa miongoni mwa wakristo wakatoliki 140 wapya wa Parokia ya Tabata baada ta kupata ubatizo. Mimi, mama yake Winifrida na Baba wa Ubatizo, Prudence Mugishagwe tunamshukuru Mungu kwa yote.

No comments:

Post a Comment