Friday, May 11, 2012

Ziara ya Mabwepande

Kisima cha Fikra ilipofanya ziara Mabwepande kuona jinsi waathirika wa mafuriko wanavyodunda na maisha, miezi mitano baada ya maafa hayo. Kwa ujumla matumaini ya wananchi kurejea katika maisha yao ya kawaida yako mbali mno. Hawajapewa ruhusa ya kujenga nyumba za kudumu wala kukabidhiwa viwanja walivyoahidiwa. Wanaishi kama "Vijiji vya Ujamaa". Soma hii TAARIFA KAMILI


No comments:

Post a Comment