Monday, April 11, 2011

Kichoustahili Muswada wa JK

Kwa ujumla Wazanzibari wameukataa Muswada wa Mabadiliko ya Katiba, unaompa madaraka Rais kuwa Alfa & Omega. Kwenye Mjadala juzi waliuchana hadharani. Hapa viongozi wa CHADEMA visiwani humo wakiuchoma moto kuashiria kuwa 'hicho ndicho kinauchoustahili'. Pia wamewasha taa mchana katika falsafa yao mpya ya kuwamulika mafisadi. (Na haki ngowi)

No comments:

Post a Comment