Monday, November 01, 2010

Uhakika kwa wapinzani

1. Ubungo.......CHADEMA
2. Kawe...........chadema
3. Iringa mjini.....chadma
4. Mbeya mjini.....chadema
5. Moshi mjini.......chadema
6. Kigoma kaskazini.....chadema
7. Tanga mjini......CUF
8. Mtwara mjini.....CUF
9. Hai.....chadema
10. Vunjo....TLP
11. Rombo....chadema
12. Bukombe- chadema
13. Kibondo-chadema
14. Kasulu-NCCR
15. Nyamagana-Chadema
16. Musoma Mjini-Chadema
17.
Singida Mashariki-CHADEMA
18. Ilemela - Chadema
19.
Ukerewe-CHADEMA
20. Biharamulo -CHADEMA
21. Buchosa-CHADEMA
22. Kibaha Mjini-CCM
23. Karatu-CHADEMA
24. Mbozi Magharibi-Chadema
25. Mbulu-Chadema
26. Arusha Mjini-Chadema
27. Maswa Magharibi-Chadema
28. Maswa mashariki-Chadema
29. Meatu-Chadema


Note: Majimbo yote ya pemba yamechukuliwa na cuf, kwa upande wa Rais ccm ina kura chache sana Pemba na zaidi unguja-kati ya majimbo ya Mjinimjini (Mjin Magharibi), Dk. shein anaongoza majimbo 13 kati ya 15 kwani majimbo ya Mji Mkongwe na Mtoni Maalim Seif Ameongoza vizuri tu.

2 comments:

www.mashkando.blogspot.com said...

Mzee hapana Tanga wameshinda CCM Injinia Omari Nundu kamshinda mgombea wa CUF Mussa Mbaruk, Nundu kapata kura 40,225 na Mbaruku kura 24,262 kwa ujumla mkoa wa Tanga ni wa CCM majimbo yote 11 yametwaliwa na CCM gari kubwa-www.Mashkando.blogspot.com

Reggy's said...

Samahani sana, ninasahihisha.

Asante

Post a Comment