Wednesday, October 27, 2010

Naomba maelezo ya picha

2 comments:

Anonymous said...

Mgombea anakubalika hadi vijijini. Msishangae akashinda kwa kishindo

Anonymous said...

anakubalika kwa kuongeza umaskini vijijini. mwaka 2000 huyo mkulima alikuwa hivyo, mwaka 2005 alikuwa hivyo hivyo na akamchagua jk. Mwaka 2010 bado yuko hivyo hivyo na anasubiri kumchagua jk - hapo ndipo CCM ilipotufikisha - sio umaskini wa pesa tu hata wa akili. thamani ya bango hilo ni mara tatu ya thamani ya nyumba ya mkulima huyo - CHAGUA KIKWETE, CHAGUA CCM!

Post a Comment