Thursday, July 15, 2010

Ufunguzi ofisi ya mbunge Urambo Mashariki

Rais Jakaya Kikwete akikagua Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki mara baada ya kuizindua rasmi mjini Urambo. Kulia kwake ni Mbunge wa Urambo Mashariki ambaye pia ni Spika wa Bunge, Samuel Sitta. Ofisi hiyo imeghrarimu jumla ya Tsh 170 million, ikiwa ni mpango wa serekali kujenga ofisi za wabunge katika majimbo yote nchini. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

No comments:

Post a Comment